Thursday, January 31, 2019

SEBENE LA MAMA MKWE SEHEMU YA 34

SEBENE LA MAMA MKWE
SEHEMU YA 34
ENDELEAAAA..........
"abeeeee.......
"pole sana mama mkwe,
"pole ya nini mkwe wangu?
"mwanao anakutwisha mzigo mzigo mzito sana,
"majukumu haya ni ya Kawaida kwa kila mwanamke,
"sio wote,
"kwanini mkwe?
"mfano mwanao unaona anamudu majukumu yake,
"Mh!!!!!!! Labda kwa kuwa anasoma,
"ila mama tusemeshe ukweli wewe bahati nzuri umesoma hebu niambie ulikuwa unarudi nyumbani saa nne?
"hapana, ila si unajua kizazi cha siku hizi mwanangu derick unaweza kukuta anapita kwa marafiki zake anaongea mpaka anajisahau,
"mhhhh!!!!!!! Irine ananifanyia mengi ila navumilia tu,
"yapi tena mwanangu?
"mama irine nahisi atakuwa anatoka nje ya ndoa,
"mmmmhhh!!!!! Kwanini unafikilia hivyo?
"mama nina mwezi sijapata haki yangu ya ndoa kutoka kwa mke wangu,
"unasemaje?
"kama ulivyosikia mama mkwe,
"mhhhh!!!!! Pole mkwe wangu ilaa,
Kabla hajamalizia sentensi mlango wa sebureni ulifunguliwa aliye ingia hakuna mwingine alikuwa ni irine,
"Shikamo mama,
"Marahaba,
"Derick za saizi?
"nzuri,
Hakuna aliyemsemesha mengi wala machache kwani kila mmoja alitahamaki salamu niliyopewa,
Irine Baada ya salamu alienda chumbani akaingia bafuni akaoga kisha akapanda kitandani akalala,
Sisi tulianza kula huku mama mkwe akiwa anaonekana amechoshwa na kile nilichomueleza,
"Irine mwanangu kawaje mpaka anafikia hatua hii?
"nahisi marafiki alionao ndio walio muharibu,
"inawezekana ikawa hivyo,
"mimi namuangalia tu ila ipo siku atanikumbuka,
"usiseme hivyo mkwe wangu,
"sasa mama unaona nitavumilia hali hii mpaka lini?
Mama mkwe alinishika mkono kisha akaniambia,
"mwanangu nitayamaliza hayo nitamkanya sawa derick,
Kutoka na mkono wa mama irine kuwa juu ya mkono wangu hali ya sehemu za ikweta ilibadilika na mimi nikashika mkono wa mama irine nikawa kama naupapasa kiaina kisha nikawa kama namvutia kwangu nimle ndenda,
Mama mkwe naye alionekana kuwa na nyenge nyingi kwani na yeye alilainika akawa anasogea mpaka tukajikuta midomo imefikiana na kuanza kulana denda bila kuchelewa ila gafla irine akafungua mlango akatoka chumbani akatutupia macho,
Itaendeleaaaaa......

No comments:

Post a Comment