Thursday, January 31, 2019

HATIMA YA MAPENZI SEHEMU YA THELATHINI NA MOJA ( 31 )

.HATIMA YA MAPENZI
MTUNZI.............. KENDRICK LINCOLN JR.
SEHEMU YA THELATHINI NA MOJA ( 31 )
ILIPOISHIA..
Usiku baada ya chakula nilikaa na mpenzi wangu Vee tukiwa tunaangalia tamthilia kwenye king'amuzi cha Azam.Tulikua tumekaa kimahaba sana huku Vee akiwa amenilalia mapajani kwangu na miguu ameiweka juu ya sofa. Mara nikamuona anageuka na kunitazama kisha akaniambia.
Alex mume wangu sema unataka nini kutoka kwangu..
ENDELEA..
Nilihisi kama mwili umepigwa na shoti ya umeme kwani aliongea maneno hayo kwa sauti ya kimahaba sana. Nilimtazama sana Vee haswa kwenye lips zako ambazo zilikua zina mvuto kama sumaku. Sikujua ni jinsi gani tuliwasiliana kwani wote tulijikuta tukisogeleana taratibu na kuanza kubadilisha mate kwa mahaba sana. Lips zake zilikua zinavutia sana na sikutaka kabisa kumuachia. Tuliendelea na kale kamchezo karibia dakika 2 na nilimuona Vee akijitoa taratibu baada ya kuanza kuzidiwa na pumzi zake kwani alikua anahema kwa shida sana.
Nakuhitaji wewe tu baby sio kitu kingine chochote.
Nilimjibu kwa sauti ndogo na nzito kidogo.
Alinitazama usoni na kuniinua pale chini tulipokua tumekaa na tukaelekea chumbani. Muda huo tayari dunguso ilishakasirika balaa na hakuna kitu kingine ilichohitaji zaidi ya joto la Vee.. Tulijitupa kitandani na nikaanza kumchojoa nguo zake moja baada ya nyengine hadi akabakiwa na kufuli tu. Nilisisimkwa sana na mwili kwani Vanessa alikua na uzuri wa aina yake. Muda huo na mimi nilibaki na boksa tu na tukajikuta tunaanza tena kubadilishana mate kwa hisia. Nilianza kumchezea matiti yake na nikamuona akifumba macho kwa raha. Nikaanza kuyanyonya taratibu huku nikizivuta chuchu kwa kutumia meno yangu. Kile nilichokifanya muda huo kilikua kama dhahabu kwani kilizigusa barabara hisia zake. Nikahamia kunako kijiji cha uvinza na kuanza kuchimba madini chumvi kitu kilichoamsha vilivyo hisia na majini yote ya Vanessa. Nilimnyonya sana hadi nikaona naniliu yake inaanza kubadilika rangi na kuwa nyekunde kutokana na kuwa mweupe sana. Vee alikua yupo hoi na sikutaka nimcheleweshe na na nikajisemea moyoni kuwa salamu atatuma siku nyengine. Nilikua na shauku kubwa sana ya kuwakutanisha mafahari wawili na sikuchelewa haraka haraka nikaitupa ndoano baharini. Nikaanza kupiga surundaka kwa mwendo wa taratibu na nikamuona Vee akiwa ananyonya kidole chake kwa utamu. Taratibu nilijikuta speed ikianza kuongezeka na Vee alikua analia kwa sauti tamu sana utadhani zile za wazungu kwenye picha za ngono. Vanessa alikua anaongea maneno ya kiingereza ambayo hata sikuyajua maana yake na mimi ndo nikazidi kumpelekea moto wa nguvu. Nilimfikisha pwani mara tatu mfululizo huku na mimi nikiwa naanza kuwahisi wazungu kwa mbali wakiwa wanakuja. Nilizidisha speend na kumkamata Vee kiuno chake na baada ya muda nikafanikiwa kufika pwani ya Mombasa ambapo kulikua na kila aina ya raha. Vee alikua amefumba macho tu na ametulia kimya kama vile anawasikilizia wazungu wangu wanavyoingia kwenye pango lake kutalii.
Nilimuacha na kukaa pembeni huku jasho likiwa linanimiminika. Baada ya kama dakika moja Vanessa alinisogelea na kunipiga busu mdomoni.
Alex wewe ni mwanaume wa kweli.
Kwanini baby!
Niliuliza kama sijui kitu vile kumbe nilishajua dozi niliyompa ndo imemfanya aseme vile.
Yani mpaka nafikia umri huu hakuna mwanaume aliyewahi kunikojoza kiasi hiki kama ulivyofanya wewe leo.
Mhh! Kweli baby?
Ndio. Angalia hata shuka na kitanda jinsi kilivyorowa kwa kupizi sana, yani leo ndo nimejihisi nimefanya mapenzi haswa tofauti na siku zote.
Asante sana mpenzi wangu kwa sifa unazonimwagia maana unanifanya bichwa lote linavimba hapa.
Vee alicheka sana na kunipiga kikosi cha uchokozi.
Ila hata mimi mke wangu nimefurahi sana kwa penzi ulilonipa maana muda wote nikikutazama usoni jinsi ulivyokua mrembo ndo stimu zilivyokua zinazidi. Kiukweli nimeenjoy sana leo maana sijawahi kuwa na msichana mzuri kama wewe baby.
Mmhh! Ushaanza Alex, yani ina maana haujawahi kuwa na msichana mzuri zaidi yangu?
Kweli mke wangu wala sikutanii. Wewe ndo mrembo wangu namba moja kati ya wote niliowahi kuwa nao kwenye maisha yangu.
Asikwambie mtu wanawake wanapenda kusifiwa bwana. Yani hata kama akijifanya hataki basi anakua ni muongo tu ila moyoni anafurahi kupita maelezo. Vee alifurahi sana na alinishukuru sana kwa sifa nilizompa. Tuliongea kidogo na kujikuta stimu zikianza kuamka tena na nikamtaka Vee tuendelee na hakupinga hata kidogo. Siku ile hadi tunalala nilijikuta nimepiga nyanyo nne huku Vee akiwa amefika pwani mara nyingi sana hadi akaishiwa nguvu. Niliufaidi sana uzuri wa Vanessa na hiyo ndio ilikua ni mwanzo wa kabisa wa kuzidi kuufaidi uzuri wake.
*************** ***************
Ilipita takribani miezi miwili nikiwa naishi na Vanessa na sasa tulikua tumezoeana sana. Kiukweli tulikua tunapendana sana na hadi kufikia muda huo naweza kusema Aggy nilikua nimemsahau maana pindi ninapoona meseji yake au akiwa anapiga ndio huwa namkumbuka. Nilifuta hadi namba yake ya simu japo kichwani nilikua naijua ili hata akiwa anapiga usiku isiwe kesi kati yangu na Vanessa. Happy alikua amesharudi kutoka Arusha kwa bibi yake kama mwezi mmoja uliopita na alipokuta kuwa nimehama nyumbani kwao alinilaumu sana kwani sikumjulisha wakati naondoka. Mara nyingi sana aliniomba tukakutane faragha ili tukapeane raha lakini nilikua namzungusha tu kwani sikutaka tena kuendelea na ule mchezo. Hata Janeth nae alikua ananisumbua sana nikampe dozi maana alidai kuwa amezidiwa sana lakini mara zote nilikua namtolea mbavuni. Pia Vanessa alikua ananibana sana yani hanipi pumzi hata kidogo kiasi kwamba sasa hivi ratiba yangu ilikua ni kazini na nyumbani tu. Ilifika kipindi hadi akawa ananipigia video call pindi anapohisi hanielewi elewi nipo wapi. Vanessa alikua na wivu uliopitiliza yani alikaba hadi penati. Mimi nae nilikua nimekufa na kuoza kwenye penzi lake kwani chochote atakachokisema ndio hiko hiko kitakachofanyika. Tulikua tukitoka out kwenda sehemu kama club au beach alikua akinisindikiza hadi chooni eti akidai anaogopa kuibiwa. Kuna muda nilijihisi kukosa uhuru sana kwani rafiki zangu walinitaka tutoke out kama kawaida yetu lakini nilishindwa kufanya hivyo kwa sababu yake.
Nashukuru Mungu nilifanikiwa kumaliza ujenzi wa nyumba kijijini kwetu na sasa baba ma mama walihamia kwenye ile nyumba kubwa. Niliwasiliana na duka flani ambalo lilikua linauza fenicha pamoja na vitu vyote vya ndani ya nyumba ili ninunue fenicha kwao kisha nilipie usafiri na kuvipeleka mpaka nyumbani. Tulielewana na nikaingia kwenye ukurasa wao mtandaoni na nikachagua vitu vyote nilivyoona vinafaa. Nikapanga kuwa pindi nitakapoenda mimi mwenyewe ndo nitamalizia kununua kila kitu. Kweli walivipeleka vitu vyote nilivyolipia na vikafika nyumbani salama kabisa. Pia nilimwambia mama amtafute msichana yoyote pale kijijini mwenye tabia nzuri ili awe anafanya kazi zote za ndani ili yeye apumzike na nitakua namlipa. Kwa umri waliofikia wazazi wangu na mateso yote waliyopitia kwenye maisha yao, sikutaka tena waendelee kuteseka na sasa nilitaka waishi kama wafalme. Baba na mama walinishukuru sana kwa yote niliowafanyia kwani sasa walikua wanaishi maisha mazuri sana. Sio siri ile kazi niliyokua naifanya ilikua inaniingizia pesa nyingi sana kwani ndani ya miezi kama kumi hivi nilifanikiwa kujenga nyumba na kuimaliza yote. David alikua ananilipa vizuri sana pamoja na kunipiga tafu kwenye mambo mengi sana. Pia Janeth alinipa hela nyingi sana kipindi nampa zile dozi zangu za mwana ukome na zote hizo nilikua nazipeleka kwenye ujenzi.
Jioni moja Happy alinipigia simu na kunitaarifu kuwa siku inayofuata anaanza maisha ya kukaa hostel kwani alikua amepangiwa chuo katika Chuo Kikuu Cha Dar es salaam. Nilimpongeza sana na nikamsihi awe makini sana kwenye masomo yake ili aje kuendeleza familia ya wasomi kama walivyo mama yake na baba yake.
Sawa Alex nimekuelewa. Halafu nina shida sana ya kuonana na wewe.
Lini hiyo na una shida gani?
Nafikiri Ijumaa jioni itakua vizuri maana nimeangalia ratiba ya chuo nimeona ndo nitakua free. Naomba uje huku huku hostel nitakwambia kila kitu.
Sawa Happy nimekuelewa nitakuja.
Happy alifurahi sana na kunishukuru kisha tukaagana na kukata simu.
Kweli ilivyofika Ijumaa jioni baada ya kazi nilienda mpaka maeneo aliyonielekeza Happy ambapo hostel anayokaa ilikua ipo maeneo ya Mwenge Vinyago. Niliingia mpaka mtaa alionielekeza na nikamkuta njiani kabisa akiwa ananisubiri..............JE NINI KITAENDELEA?
NAOMBA WOTE LEO TUFANYE KITU KIMOJA. SHARE HII POST KADRI UWEZAVYO ILI IWAFIKIE WATU WENGI SANA NA FAMILIA YETU IZIDI KUKUA.
SHARE. SHARE. SHARE.

No comments:

Post a Comment