SEBENE LA MAMA MKWE
SEHEMU YA 27 /28
ENDELEAAAA......
wazee waliondoka wakarudi kwangu kuniambia kilichoajiri huko,
"kijana ujumbe umefika na tumeambiwa kwa watatupigia watwambie lini tukachukue majibu kwa hiyo kwa kuwa namba yako ndio iliyopo pale watatupigia wewe alafu Utatupatia taarifa,
"sawa asanteni wazee wangu,
"sawa tunakutakia kila laheri ufanikishe suala hilo,
Nilijihisi kama nimeongezeka uzito hivi kwani nilijiuliza mengi sana kuhusu jibu nitakalo pewa huko na pia nilijiuliza kama wazazi wake wanaweza kukubali mtoto wao aolewe angali bado anasubili matokeo ya kidato cha tano,
Niliwaza mambo mengi sana kuhusu suala hilo mpaka nikahisi kichwa kinauma,
UPANDE WA PILI
upande WA pili mama yake na Irine aliifungua barua ya posa akaanza kuisoma ila alishangaa kuona aliyelengwa katika barua ile alikuwa ni mwanaye irine,
"haaaa ina maana irine ndie ameletewa barua?
Wakati anatahamaki kuona hilo irine alikuwa karibu yake na akadakia kwa kusema,
"mama inamaana nimeletewa posa?
"ndio,
"oooohhhuu asante mungu,
"Unasemaje wewe mwendawazimu?
"mama unaniita mimi mwendawazimu?
"ndio hv unaweza kushangilia kuolewa Wakati matokeo ya kidato cha nne haya jatoka?
"mama mimi nataka kuolewa sihitaji ushauri wa mtu wala kipingamizi cha mtu yeyote tena atakayetaka kunipinga hatutaelewana kabisa,
Hivi wewe irine si bado mwanafunzi?
"nitasomea kwa mume wangu,
"sasa kama nilikubeba miezi tisa tumboni kwangu nimesema sitaki uolewe,
"kama mtapinga kuolewa kwangu basi mjiandae kulea wajukuu,
"Unasemaje wewe mjinga?
"kama ulivyosikia,
Mama irine alipagawa kusikia majibu ya mwanaye akaumia roho akabaki anajiuliza mwanaye amekuwaje?
Ngoja nimfuate huko sitaki aniletee ujinga hapa kwangu,
Mama irine alimfuata nwanaye chumbani kumkanya kuhusu kuwa na mawazo ya kuolewa wakati matokeo hayajatoka,
"sikiliza irine kama unataka nikupe raana endelea kuwa na ndoto za ujinga za kutaka kuolewa wakati matokeo hayajatoka tukajua kama umefauru au umefeli,
"mama nimekuheshimu tangu umenizaa mpaka hapa nilipofikia ila sasa naona kama unaninyima haki yangu ya msingi sasa na mimi cha kukwambia ni kwamba mimi nimeamuwa kuolewa na kama hauko tayari kwa hili basi jiandae kulea wajukuu,
Mama irine aliinama akawaza mengi kisha akainuwa kichwa akamtupia macho mwanaye kisha akamwambia,
"irine mwanangu kweli umeshikilia msimamo wa kuolewa?
"ndio mama naomba unipe baraka zako,
"mwanangu usifikili ndoa ni kitu rahisi kiivyo unavyo fikiria wewe ndoa ni ngumu mwanangu,
"mama nitavumilia tu,
"mwanangu nilitamani kukuona unasoma mpaka unamaliza chuo ila ndoto zangu zimefeli mpaka kufikia hapa,
"mama nakuahidi nitasoma hata kama nitakuwa kwenye ndoa,
"mhhhhh!!! Haya yangu macho tu,
Ilifikia mahala mama irine akakubaliana na mwanaye akamuacha aolewe kama anavyotaka yeye,
Baada ya irine kukubaliana na mama yake kesho yake nilipigiwa simu na mwanaume nisiye mjuwa,
"hallow habari yako?
"nzuri,
"samahani nazani wewe ni miongoni mwa watu mlioleta posa hapa nyumbani?
"ndio mzee,
"kesho naomba mje mchukue majibu yenu,
"sawa mzee kwa hiyo tuje saa ngapi?
"saa sita sita hivi,
"sawa nsshukuru tutafika kesho,
Baada ya kupokea ujumbe ule nilichukua simu nikampigia yule mzee niliyemtuma,
"mzee kesho ndio siku ya kufuata majibu na nimeambiwa iwe saa sita mchana,
"sawa basi haina shida tutafika hapo kwako saa nne asubuhi tuyapange vizuri,
"sawa haina shida,
Nilikata simu nikabaki kusubili ya kesho nilipanga kabla ya kuowa nihamie kwenye nyumba yangu ninayojenga,
Itaendeleaaaa.....

No comments:
Post a Comment