SEBENE la MAMA MKWE
SEHEMU YA 13
Endeleaaaa....
Mahaba yalinoga kati yangu na sophy mpaka kila mmoja wetu akawa kama vile kapagawa ila yote haya yalisababishwa na mimi kujua namna ya kumuenzi sophy,
Sophy nilimchombeza na yeye akachombezeka......
nilimnogesha sophy na yeye akanogeka...
Nilimtomasa na yeye sophy akatomasika....
Nilimramba kila kona ya mwili na sophy akarambika....
"Deriiick hakika unastairi sifa na vyeo vyote vya duniani,
"Kwanini mpenzi wangu,
"Derick hakika unanikosha unajua kumfanya mwanamke ajione ni miss wa ulimwengu,
"Mmmhhh!!!! Kwanini?
"Derick unaongea vizuri kwa hiyo moyo wangu unautakasa kwa sauti yako tamu na maneno yako adimu,
"Sophy kwelii?
"Ndiooo derick alafu kitu kingine ni kwamba derick unajua kuitumia mikono yako vizuri,
"Kivipi sophy?.
"Derick mikono yako ni mitamu japo hailiwi,
"Aaaahhh!!! Sophy mitamu kivipi?
"Derick kila sehemu unayonishika ya mwili unanisisimuwa utazani umenitekenya,
"Sophy maneno yako ni matamu sana yamenifanya nijione ni mtu mwingine tofauti katika ulimwengu huu,
***********
Upande wa pili,
Niliachana na irine nikaondoka kuelekea nyumbani na irine naye akaingia ndani kwao ila alipoingia alikutana na mama yake mdogo,
"Irine ulikuwa wapi nimekuta mboga imeungulia nyeusi yaani hamna hata mboga ya kula usiku,
"Heeee kweliii?.
"Ndio sijui mama yako utamwambia nini?
"Nitamwambia nini sasa jamani itabidi nipike mboga nyingine kwenye friji si kuna samaki?.
"Ndioo,
"Basi fanya hivyo haraka,
Irine alichochea jiko akaanza kupika wakati anapika akamuomba simu mama yake mdogo,
"Niazime simu basi mala moja,
"Mhh!!! Leo kali unataka umpigie nani?
"Nampiga mtu wangu,
"Poa, hii hapa,
Umri wa irine na mama yake mdogo ulikuwa sawa,
Irine alinipigia,
"Hallow deriiick wangu mambo vipi?.
"Poa za wewe swty wangu,
"Nzuri swty, ila mboga imekuwa mkaa imeungua,
"Pole swty kwa hiyo inakuaje sasa?
"Niko napika nyingine,
"Sawa, ila pole..
"Asante swty,
Baada ya kuongea na mimi alikata simu ila baada ya kuongea naye mda wa dakika tano kuna simu iliingia ila namba ilikuwa mpya,
"Halllow,
"Yes swty hii..
Niliduwa kwanza kusikia swty,
"We ni nani?
"Oooohhhuuu mpenzi wangu umenisahau kweli ama uko na mchepuko unajivunga?
"Hebu sema wewe ni nani,
Safari hii alinijibu kwa hasira,
"Wewe sema kama uko na malaya zako sema derick niambie umeisha nimwaga?
Aliponiita jina nilishituka sana alafu hata sauti yake nilikuwa siiijui...
Itaendeleaaaaaa ......

No comments:
Post a Comment