HATIMA YA MAPENZI
MTUNZI............... KENDRICK LINCOLN JR.
SEHEMU YA ISHIRINI NA TISA ( 29 )

ILIPOISHIA..
Zilizipita takribani siku nne na nilikua nipo na Janeth chumbani kwangu usiku tukiongea mara baada ya kutoka kupeana mambo. Tulisikia honi ikipigwa getini na ilibidi tuchungulie ni nani maana magari yote yalikua yapo ndani. Baada ya muda mfupi mlinzi alifungua geti na hatukuamini tulivyomuona David akiwa anaingia ndani huku akiwa na mizigo mkononi..

ENDELEA..
Tulishtuka sana kwani David alirudi ghafla bila kumtaarifu mtu yoyote. Janeth aliinuka haraka na kuikimbilia kanga yake kisha akajifunga kifuani. Alitoka mbio mbio na kusahau kuvaa kufuli lake ambalo aliliacha kitandani. Nilimsikia akifungua mlango wa chumbani kwake na kuufunga kisha na mimi nikaenda kuufunga na funguo mlango wa chumbani kwangu kisha nikajifanya nimeshalala. Nilizima taa na kujikausha kimya na baada ya muda mfupi nikamsikia David akiwa anaongea na mlinzi koridoni na nikahisi huenda itakua amemsaidia kubeba mizigo. Alimshukuru mlinzi na nikasikia akiufungua na kuufunga mlango wa chumbani kwake na baada ya hapo ukimya ulitawala nisijue ni kitu gani kinachoendelea huko. Nilikua na wasiwasi sana kwani Janeth alitoka bila kuoga na nikahisi huenda David atamshtukia kuwa ametoka kulala na mwanaume. Na mimi sikutaka hata kuoga, nikaamua nilale vile vile na janaba langu.

Wakati bado nawaza yote hayo nikasikia simu yangu inaita na nilipoangalia nikaona ni Agness. Sikua na hamu ya kuongea nae hata kidogo kwani muda huo nilikuwa nimevurugwa sio kawaida. Simu iliita hadi ikakata na baada ya muda akapiga tena. Nikaamue nipokee na kuongea nae japo kidogo ili tu aridhike.
Hellow.
Eeh hello mume wangu.
Naam, mambo vipi?
Poa, vipi mzima?
Mimi mzima sijui wewe.
Mimi pia mzima kabisa mpenzi wangu. Vipi ulikua umelala nini mbona unaongea kwa uchovu sana?
Ndio, nilikua nimeshalala yani simu yako ndo imeniamsha.
(Nilikua naongea kwa uchovu sana utadhani kweli nilitoka usingizini)
Jamani pole sana mume wangu.
Asante sana.
Vipi mbona leo umelala mapema sana na sio kawaida yako?
Nimechoka, siku ya leo nilikua nipo busy sana.
Jamani pole sana mpenzi.
Sawa asante.
(Haya mapenzi haya tuyaache kama yalivyo, yani sijui kwanini nilijikuta nashindwa kumuita Aggy majina mazuri ya kimapenzi kama tulivyozoea. Sikujua kama ni kumzoea sana au nimeanza kumchoka)
Basi sawa nikuache upumzike tutaongea kesho honey.
Sawa nashukuru sana.
Sawa usiku mwema mume wangu na nakupenda sana.
Asante nakupenda pia.
(Aggy hakuongea tena neno jengine na akakata simu. Nilihisi itakua ameigundua ile hali yangu niliyokua naongea nae maana sikumchangamkia kabisa.)

Nilivyoitazama simu yangu nikakuta kuna meseji ya Vanessa imeingia muda mfupi uliopita na nikahisi itakua ni wakati naongea na Aggy. Alikua anaomba nimpigie na sijui ile mood ilitoka wapi kwani nilijikuta napata shauku kubwa sana ya kuongea nae. Ama kweli ndio maana watu kutwa wapo busy kuwasaliti wapenzi wao maana asikwambie mtu bwana penzi jipya lina utamu wake. Nahisi kuna watu wanaimiss ile raha na ndio maana wanaamua kusaliti na kuanzisha penzi jipya sehemu nyengine.
Nilimpigia na simu haikuita sana akapokea.
Hellow baby.
Hellow, mambo.
Poa tu mume wangu, vipi hali yako?
Mimi niko poa tu sijui wewe unaendeleaje.
Mimi naumwa.
Mhh! Unaumwa nini baby na mbona wakati tunachat haukuniambia?
Naumwa kukumiss wewe hapo.
Ooh! jamani nimekumiss pia mke wangu si unajua hali yangu nisipokuona siku moja tu?
(Yani sijui ile mood ya kuongea vile ilitokea wapi maana utadhani sio mimi niliyekua naongea na Agness muda mfupi uliopita)
Mhh! Lakini hunishindi mimi Alex wangu.
Vipi wikiendi utakua free?
Jumamosi au Jumapili?
Jumamosi.
Mhh! nadhani kuanzia mida ya saa 11 jioni hivi ndo nitakua free.
Sawa ndo muda mzuri huo, nataka tutoke out.
Awww! Jamani tunaenda wapi baby?
Utajua siku hiyo hiyo acha iwe surprise tu ila naamini utapapenda.
Mmhh! Sawa baby nitafurahi sana.
Tuliongea mambo mengi sana hususani suala la kupanga na nikamuahidi kuwa ndani ya siku chache nitakua nishalimaliza hilo jambo. na alifurahi sana. Tuliongea hadi usiku mwingi na tukaagana na kutakiana usiku mwema. Sio siri Vanessa alinitia mshawasha sana na nilitamani hata muda huo tungekua tuko pamoja. Kadri siku zilivyokwenda ndo nilijikuta nazidi kuzama kwenye penzi la Vanessa na niliamini hata yeye alikua ananipenda sana.

************** ***************
Kesho yake mida kama ya saa 4 asubuhi nikiwa ofisini kwa David nilimuona yeye mwenyewe akija. Niliinuka na kumsalimia kwa furaha sana kisha nikamuuliza habari za huko pamoja na safari yake kwa ujumla. Akanijibu kuwa safari yake ilikua ya mafanikio sana na alifanikiwa kukamilisha mambo yote yaliyompeleka na akaniambia kuwa kuna kitu kikubwa kipo njiani atakizindua siku sio nyingi. Nilimuomba sana aniambie ila akasema kuwa niwe mvumilivu kwani mambo mazuri hayataki haraka. Nilimkabidhi daftari la mahesabu la biashara zake zote na baada ya kulipitia alifurahi sana.
Hongera sana Alex mdogo wangu yani wakati nasafiri sikutegemea kabisa kama huu mwezi ungeenda hivi maana tulifanya matumizi makubwa sana mwezi uliopita. Kiukweli najivunia sana kuwa na mtu makini kama wewe kwenye biashara zangu kwani hapo mwanzo mambo yalikua hayaendi hivi kabisa. Asante sana Alex, wewe ni mtu muhimu sana kwangu.
Nilifurahi sana jinsi nilivyomwagiwa zile sifa na nikamuahidi kuwa nitazidi kuwa makini zaidi kwenye kazi yangu.
Vipi kwenye suala la ujenzi nyumbani umefikia wapi?
David aliniuliza huku akiwa anamalizia kufunga mahesabu ya biashara zake.
Namshukuru Mungu nimefikia sehemu nzuri sana na nimebakisha vitu vichache sana ili nikamilishe kila kitu.
Niliongea huku nikitoa simu yangu na kumuonyesha picha ambazo wale mafundi walikua wananitumia kila siku.
Aisee nyumba nzuri sana na kweli imefikia sehemu nzuri. Na je ulivyopiga mahesabu umejua ni kiasi gani kilichobaki ili umalize kabisa kila kitu.
Kwa haraka haraka nilivyopiga hesabu nikagundua inahitajika kama milioni 4 na nusu hivi au 5 ili nimalize kila kitu hadi kuweka umeme.
Okay, basi hamna shida mimi kesho nitakupatia hiyo hela.
Kiukweli nilifurahi na kumshukuru sana David kwa moyo wake na nilijikuta nikizidi kupata aibu kwa yale mambo niliyokua namfanyia kutembea na mke na watoto wake, tena haswa mke wake.

Kaka halafu kuna kitu ninataka nikuombe.
Sawa usijali Alex kuwa free tu.
Nilikaa kimya kwa muda nikijiuliza nianze na sentensi gani ili aweze kunielewa kirahisi.
Kaka ninaomba uniruhusu nihame pale nyumbani kwako.
Kwanini Alex? Kuna tatizo lolote limetokea wakati mimi sipo?
Hapana kaka hakuna tatizo lolote na nashukuru watu wote mule ndani ninaishi nao vizuri sana.
Sasa tatizo liko wapi wakati nilikwambia usihame hadi mwaka huu uishe?
Nilikaa kimya kidogo kisha nikamjibu.
Unajua kaka sasa hivi nimeshakua mtu mzima na pia tayari nina marafiki wengi sana. Sasa kuna baadhi ya siku huwa tunaenda sehemu za starehe kufurahi na kujikuta ninarudi nyumbani usiku mwingi sana nahisi hata wewe itakua unanisikia.
David alikua kimya akinisikiliza kwa makini kisha nikaendelea.
Pia sasa hivi tayari nimepata mwanamke hivyo naona itakua sio vizuri nikiwa nakuja nae nyumbani haswa wakina Happy, Winfrida na Patrick wakiwa wapo nyumbani maana haitaleta picha nzuri kwao. Pia nikiwa kwangu ndo akili itazidi kufunguka na kuanza kufanya vitu vingi vikubwa.
David alikaa kimya kwa muda kidogo kama anayatafakari maneno yangu kisha akaniambia.
Yani kwa sababu ulizonipa Alex mimi wala sina kipingamizi tena nakuruhusu kwa moyo mmoja na kukutakia kila la heri katika kuanza safari yako ya maisha.
Nilifurahi sana pamoja na kumshukuru David kwa kuishi na yeye vizuri muda wote niliokua nyumbani kwake. Pia sikuacha kumshukuru kwa mambo yote aliyonitendea kwenye maisha yangu na kunifanya nimekua Alex mpya kabisa. Nikapanga kuwa pindi nitakapohama niache kabisa kujihusisha kwenye mapenzi na familia ya David maana roho ilikua inanisuta sana kila nikimtazama David na mambo anayonifanyia.

*************** ****************
Jioni nilivyorudi nyumbani wakati naangalia TV nilimuona Janeth akija na kukaa kwenye sofa la pembeni yangu wakati David alipokua bado hajarudi kwani alipitia kwenye mizunguko yake mengine.
Alex mbona unaonekana umechoka hivyo?
Shughuli tu za mchana kutwa ndo zinanifanya nakua hoi ukifika muda huu.
Aisee pole sana ndo uanaume huo.
Asante sasa hivi nimeshazoea.
Tuliongea mambo kadhaa kuhusu kazi kisha akabadilisha mada.
Mwenzangu jana ilibaki kidogo tu tuumbuke yani kama tulijua vile tutumie chumba chako, maana ingekua kule chumbani kwangu wala tusingejua kama kuna mtu ameingia maana hauoni getini..
Aisee wewe acha tu yani moyo ulikuwa unaenda mbio sana na nikaona leo ndio nauliwa huku najiona.
Janeth alicheka sana utadhani yale tuliyokua tunaongea yalikua mazuri.
Eehe kwahiyo alivyoingia chumbani kwenu ikawaje?
Yani nilivyoingia chumbani tu moja kwa moja nikapitiliza chooni kuoga maana mwili wote ulikua umejaa jasho lako..
Kwahiyo hajahisi kitu chochote?
Tena hata kidogo na jana alirudi yupo vizuri ana mizuka hatari tukafanya raundi mbili.
Mhh! Wewe mwanamke hauchoki?
Sasa unafikiri ningefanyaje, ningeanza kujifanya nimechoka si angenihisi vibaya? Nimempa hivyo hivyo japokua nilikua sina hamu.
Mhh! Wanawake nyie mna siri nyingi sana.
Janeth alicheka sana na baada ya muda akaniaga kuwa anaingia chumbani kwake kuna kazi alikua hajaimalizia.

Niliendelea kuangalia TV na baada ya muda Grace alikuja kuniita nikale chakula. Nilienda dining room na kuanza kula nikiwa nipo peke yangu. Ila nilikua nashangaa Grace pilika pilika haziishi kila muda anakuja huku akiwa ananitazama sana usoni...............JE NINI KITAENDELEA?
USIKOSE KUFUATILIA SEHEMU YA 30 SIKU YA KESHO.
HADITHI HII IMEFIKA MBALI SANA HIVYO USIKUBALI KILA SIKU KUBAKI NYUMA. LIPIA SASA SH. 200/= TU KWA KILA KIPANDE KIMOJA ILI NIKUTUMIE MUENDELEZO.
NAMBA YA MALIPO NI TIGOPESA 0719061143 JINA ALLY RASHIDI.
KUNA WATU WANALALAMIKA KUWA WANA VODA TU AU AIRTEL PEKEE. HIVI KUTUMA PESA KUTOKA VODA MPESA KUJA TIGOPESA HAIWEZEKANI? PIGA *150*00# KISHA CHAGUA NENO "TUMA PESA" BAADA YA HAPO UTACHAGUA "TUMA KWENDA MITANDAO MINGINE UTAONA TIGOPESA IPO..

UKISHATUMA HELA USISAHAU KUNITAARIFU ILI NIKUTUMIE HADITHI.