Thursday, January 31, 2019

SEBENE LA MAMA MKWE SEHEMU YA 33

SEBENE LA MAMA MKWE
SEHEMU YA 33
ENDELEAAAA........
"Derick unanipigia nini?
"wewe ni wa kuniambia mimi naongea ugoro?
"Derick kama umenichoka niambie nijue moja siyo kunipiga,
"Irine upumbafu sitaki sawa kama wewe ndio umechoka kuishi humu ndani ondoka ila siyo kuniijia hapa saa tatu usiku,
"Derick kama ni kwako mimi nitaondoka ila siyo kupigwa bila mpango wowote,
"ukitaka uondoke tu mimi siko kuishi na mwanamke asiye tambua wajibu wake,
"sawa kama sitambui "wajibu wangu,
Tulitupiana maneno ila ila mwisho ya yote tulilala kila mmoja akiwa ana hasira zake,
Asubuhi palikucha kila mmoja akawa anapilika zake za kujiandaa kwenda kazini na hakuna aliyekuwa anaongea na mwenzake kila mmoja alikuwa bize na maandalizi yake,
Mimi ndie nilikuwa wa kwanza kuamka na irine akafuatia ila cha ajabu alipo amka hakunisalimia na mimi wala sikumsemesha nilimkalia kimya nikafanya yangu na wote tulikuwa chumbani kwani bafu ilikuwa ndani kwa ndani nilipotoka bafuni na yeye aliingia Baada ya kumaliza nikitoka mpaka sebureni nikamkuta mama mkwe amekaa kwenye sofa nikamsalimia,
"mama Shikamo,
"Marahaba za kuamka?
"salama tu mama yangu,
"kumekucha,
" Ndio mama,
Baada ya kumsabahi nilichukua funguo ya gari nkamuaga mama mkwe,
Mama kwa heli acha tukawajibike na kazi,
"sawa mwanangu,
Nilitoka nikaondoka zangu nikaenda kazini ila huku nyuma irine alipotoka ndani anakwenda shule mama yake alimuita akamwambia mawili matatu,
"mwanangu usipokuwa makini toka jana nimekwambia kuwa hii ndoa itakushinda,
"hivi mama kwanini unapenda kuniambia hivyo?
"leo mumeo kaenda bila kunywa chai na sio kawaida yake hivi ulishindwa kuamka kumpikia chai?
"hivi mama huoni alivyonipiga mpaka kanitoa harama,
"Hata angekutoa jicho,.
"kwa hiyo angenitoa jicho ungefurahi?
" Ndio ungetulia labda,
"hivi mama unahisi mimi naenda kwa wanaume?
"hayo ni yako hayanihusu,
Maisha yaliendelea kama Kawaida ila tabia ya irine ya kuchelewa ilizidi na pia alizidisha mkazo wake wa kuninyima unyumba (tendo la ndoa) hali hiyo ilifanya niwe na wakati mgumu sana wa kimwili kwani kama binaadamu wa Kawaida ni lazima nitoe ninacho kula,
Siku ilikuwa ni saa tatu usiku irine alikuwa hajarudi ikabidi mama mkwe anitengee chakula ila wakati anatenga nilijikuta nammezea mate kwani mama mkwe wangu alikuwa bado analipa alikuwa na miaka 30 ila ukimuangalia utazani ana miaka 25 hiyo yote ilitokana na kijitunza vizuri,
Nilitupia macho kwenye mzigo nikadata na ushuzi wa mama mkwe nikasema kimoyo moyo, *mhhh!!!! Huu mzigo siuachii*
"mama mkwe?
"abeeeee..........
Itaendeleaaaaaa..............

No comments:

Post a Comment