SEBENE LA MAMA MKWE
SEHEMU YA 32
ENDELEAAAA........
"Shikamo mama?
"Marahaba,
"mume wangu habari za kushinda?
"nzuri,
Alipitiliza akaelekea chumbani akabadilisha akarudi sebureni akakaa kidogo kisha akaelekea jikoni akaanza kutenga chakula mezani alipomaliza akatukalibisha mezani,
Nilimkata jicho mpaka akaogopa ila akajikaza tukakaa mezani kupata chakula Tulikula mpaka tunamaliza sijaongea chochote na wakati siyo kawaida yangu Baada ya kumaliza kula nilinawa nikamuaga mama mkwe,
"mama usiku mwema,
"Na wewe pia mwanangu,
Nilinyanyuka nikaondoka nikaelekea chumbani nikamuacha mtu na mama yake sebureni wakiongea,
"mwanangu irine hivi unaweza kuniambia ulikuwa wapi toka ulipoenda shule?
"nilipita kwa marafiki zangu tukawa tunajisomea mama,
"Irine kujisomea mpaka saa tatu?
"Ndio mama,
"Irine ndoa inaenda kukushinda kama hautabadilika,
"lakini mama si nilienda kusoma?
"subili utaniambia kama umeanza upuuzi huo jiandae taraka tu,
"akiwa ameamuwa hivyo basi sasa niache kusoma?
"haya msomi soma sisi wengine si hatujasoma,
"kwa hiyo mama niache shule?
"ingekuwa bora maana hiyo shule ya kurudi usiku wa saa tatu itakupa taraka,
"hilo halipo bora nipate hiyo taraka kuliko kuacha shule,
"haya wewe si mtu mzima una akiri zako fanya unachoona kinafaa kwako,
"sawa usiku mwema,
Mama alijitahidi kumuelimisha ila hakumuelewa alipo ingia chumbani alinikuta na mimi nimejaa kama pishi la ubwabwa,
"wee mpumbafu hebu nieleze shule gani yakurudi saa tatu?
"kulikuwa na discation ndio maana nimechelewa mume wangu,
"wewe usinifanye mimi ni mbumbu ambaye sijasoma,
"siyo hivyo mume wangu,
"ila ni nini?
"sikia wewe sasa navyoona wewe shule imekushinda mapema usinione mkimya ila nina maamuzi ya ajabu sana,
"mume wangu mimi shule haijanishinda,
"basi kama shule haijanishinda basi ndoa imekushinda na ndoa ikikushinda basi jiandae kupata msaidizi,
"unasemaje derick?
"kama ulivyosikia,
"Derick huko umefika mbali sasa na ukitaka tukosane fanya hivyo,
"na wewe ukitaka msaidizi endelea kuchelewa na kuninyima haki yangu ya ndoa,
" Derick usinieleze ugoro wako huo,
Alipomalizia kauri yake alikutana na kofi shavuni kwake,
Itaendeleaaaa.......

No comments:
Post a Comment