SEBENE LA MAMA MKWE
5
MTUNZI PRINCE ISSAQUAH JACKSON
NAMBA. +255745229866 wasap.
Endeleaaaaa.......
Niliposogeza mpaka kifuani kwangu nilimpelekea ulimi mpaka mdomoni kwake nikaanza kumla denda huku nachezea vimatiti vyake vilivyosimama kama miba ya porini,
Soph hapo alitulia akawa akawa mpole akawa anasubili kusikilizia yajayo huku anatoa kamguno kama ka kukolea kimahaba hivi,
"Leeeeeewis ooooohhhhhhuuu..."
Niliendelea kuchambua mwili wake na kuupapasa kama vile mtu anavyojipaka mafta,
Nilipenyeza mikono mgongoni mwake na kuchezea uti wa mgogngo kama vile nahesabu pingili za miwa,
"Leeeeewiiiis axsiiiiiiii oooowwwuuu...."
Sikujali kilio chake niliendelea kuupembua mwili wa sophy na kutalii kila sehemu ya mwili wake kama vile niko hifadhi ya ngorongoro au mikumi,
Nilienda mbali zaidi nikaanza kushusha mkono kuelekeza kwenye utamu wa asili hapo kidogo akataka kuwa mbishi ila kwakuwa alikuwa anayonya pipi hakuweza kuwa na nguvu za kupinga kile nilichokitaka kufanya kwenye mwili wake nilizidi kuushusha mkono mpaka ukagota kwenye utamu,
"Aaashhhiiiiiii ooooohhhhhuuu leeeewiiiis....."
"Niniiiiiiii?....."
**********
"Irine nwanangu huyo kijana mnasoma naye uliyekuwa umekaa naye?"
"Hapana,"
"Unamfahamu?."
"Hapa,"
Hata mazingira anayoishi huyajui?."
"Nilimuona anapandisha maeneo ya shule ya msingi ya mbezi,"
"Kwa hiyo kwenye gari hamkuongea chochote?"
"Wala hakunisemesha,
"Aa basi haya kavue nguo uje ukae ule chakula,"
"Aa basi haya kavue nguo uje ukae ule chakula,"
Kesho yake nilifikilia namna ya kumpata irine japo nimpe maneno mawili matatu nikaona kinachotakiwa ni mimi kwenda mpiji magoe ikifika saa tisa nipande gari ya kurudi mbezi huenda ikipita pale mbezi high irine anaweza kupanda nikakutana naye kwa mala nyingine.
Nilifanikisha zoezi hilonilipanda kurudi mbezi nikitokea mpigi magoe gari ilipofika shule ya mbezi high ilisimama wanafunzi wakakimbilia kupanda kama bahati nikamuona irine kwa chini tukakutanisha macho akaangalia nikamsememesha,
"Nikuwekee siti?"
"Nikuwekee siti?"
"Ndio,"
Nilichofanya nilimuwekea siti moja kwa kuwa nilipokuwa nimekaa kulikuwa na viti vya wawili mimi nilikalia kimoja kijabaki kimoja nikamuwekea irine akapanda akaja nyuma kwani mimi nilikuwa nyuma kabisa,
Wenzie walipoona anaenda nyuma wakamuita,
Wenzie walipoona anaenda nyuma wakamuita,
"Irine kuna siti hapa njoo,"
"Nina siti yangu nyuma huko,"
Irine alikuja akakaa huku akinisalimia,
"Shikamo kaka?."
"Marahaba,"
Itaendeleaaaa
Like 500 tunasonga tunasonga mbele

No comments:
Post a Comment